Msanii Maarufu kutoka Tanzania amkumbuka babake kwa njia ya kipekee.
Rapa huyo mwenye swagg ya kuvutia aliomboleza kifo cha babake kwa kupost kwenye kurasa zake.
” I miss you Abubakari.. ni Mwaka Sasa Umepita Haupo Kwenye Macho Yetu…Nataman sana ungeona mwanao nnavyo Face Vitu Vigumu Sometimes Vinanikatisha hadi tamaa ya kuendelea na haya mapambano ya maisha, nakutana na wenye chuki za kuzaliwa na wenye chuki za kupandikizwa kila siku na marafiki wapya japo wengi wanakuja kwangu kwa njia tofauti sijui nani rafiki sijui nani adui.. ila najitahidi kuishi kwa usawa coz sijui ataenizika.. DUA ZANGU zipo na ww kila siku RAFIKI wa Kweli ambae ulikua unaweza kuyaskia maumiv yangu nnapoFace Ya Dunia.. Ila Jua Mkeo (Mama) Yuko Na Furaha Na Anaishi Vyema Japo Kuna Mengi Sana.. (Ya Maisha) I Wish Ungemuona Mkwe Wako.. mwana Nlioa Pia.. Nakupenda Sana Najua Huko Ulipo Hauhitaji Hata Senti Tano Yangu Ila Unahitaji Dua Nyingi.. Nakuombea Sana Pia Nawaalika Marafiki Wote Na Ndugu Na Jamaa Kutakua Na Dua Nyumban saa Saba mchana baada ya (Swalat Dhuhuri) (Sombetini,Duka La Cement) karibuni sana.. Miss You Becka.. ”
Mungu airehemu roho yake.
If You are a Music
Artist , Be it Upcoming or Famous And You wish To Drop Your Music For Fans To Access Online .Whatsapp
us +254 720 350 193 for Deals.