Intro
T ongeza sauti kidogo Mmmh
Na Mr.T Tanzania(Touch)
{Bana….}
Verse 1
Mateso ni moja yaliyo mapito yangu,
Maumivu ni moja kati yangazi zangu,
Na hayazui macho kupenda yakipenda,
Halafu haikomi roho hata kama ilitendwa,
Najua hauamini nakupenda……………,
Nisicho pinga mimi nakupenda……….,
Mwenzio ninachoamini nakupenda……..,
Sibishani na roho silipingi hilo,
Pre-Chorus
Nagombo hagombo hainya hee,
Hateli hateli ndalawa hee,
Mondine mondine mama wangee,
Naukinio mama….,
Legombo hagombo hainya hee,
Hateli hateli ndalawa hee,
Mondine mondine nenyiteliwahee,
Naukinio mama….,
(Uwoohoo)
Chorus
Sometimes I miss you(Ooh Mama),
Sometimes I miss you(Kipenzi changu),
Sometimes I miss you(Kitinda tinda cha
roho),
Sometimes I miss you,
Sometimes I miss you(Sometimes mama),
Sometimes I miss you(eheeeee),
Verse 2
Ulinipeleka race ikafa break maskini roho
yangu,
Bado haijwa late naomba ikutouch
utakapoona chozi langu,
Popote ilipo kama iwe tv au redioni
ukinisikia,
Kwamboni zangu mama mara nyingi picha
zako hunirudia,
Naninacho amini nakupenda sana japo
hukuthamini,
Prepeared by Turbin from skiizat.com,
Kwangu ukaondoka we hee,
Mi masikini roho yangu,ikahisi kufa kwa
matendo yale,
kutokuwa na busara kwa penzi langu,
Ukanihukumu na wangu upole,
Ila popote ulipo jua heee,
Chorus
Sometimes I miss you(Ooh Mama),
Sometimes I miss you(Kipenzi changu),
Sometimes I miss you(usingizi niwe mchana
au usiku),
Sometimes I miss you(Oh Jamani),
Sometimes I miss you(wewe ndio ugonjwa
wangu),
Sometimes I miss you(we kilicho kisugua
roho),
Bridge
Na ukisikia imetoka nafsi yangu(sababu ni
wewe),
Jua(Sababu ni wewe),Oh Mama(Sababu ni
wewe),
Na umeifanya pombe iwe pacha kwangu
(Chanzo ni wewe),
Cha kulewa(chanzo ni wewe),Jua(Chanzo ni
wewe),
Outro
Heeeyeiyeeeeiye… Hiiiiiiiiye……
Oh chanzo ni wewe(iyeeeeiye),Hiiiiiiii,
Na ukisikia imetoka nafsi yangu,
Jua(Oh Mama),
Na umeifanya pombe iwe pacha kwangu,
Cha kulewa