Familia ya muziki na hasa Watanzania kwa jumla wanahuzunika kutokana na kifo cha ghafla cha mwanamziki tajika,Sam Wa Ukweli.
Wakati wa kifo chake,huu ndio wimbo ambao Sam Wa Ukweli alikuwa anaushughulikia.
Kwenye wimbo,Sam analalamikia walimwengu jinsi walivyo.
Huwezi weka imani yako kwa walimwengu.
Inakisiwa kuwa chanzo cha mauti ya Sam Wa Ukweli ni ukimwi wa kurogwa ila habari hizi hazijadhibitishwa.
Sam alifariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kukimbizwa hospitalini kwa maumivu ya tumbo aliyokuwa nayo.