Naamini we ni wangu mke wangu
Nimemiss kukuona kwangu kipenzi changu
Nitaficha wapi sura yangu
Kwa walimwengu
We ndo msiri wangu kipenzi changu Maiyo
Chaguo langu ni wewe si unajua mamaa
Ukiniacha mwenyewe utaniumbua sanaa
Tulipotoka ni mbali si unajua mama eh
Katikati ya safaei utaja niua bwanaa
Wewe na mimi babe tuzikwe wote
Nife uniokote nikuokote
Sasa kwa nini unaruhusu nichekwe
Mkono kaunyea mtoto usiukate
Samahani Waiter ongeza glass
Eh muhudumu ongeza glass
Mhh Samahani Waiter ongeza glass
Eh muhudumu ongeza glass
Acha nilewe nilewe tuu
Eh nilewe nilewe tu
Acha nilewe nilewe tu
Nilewe nilewe tuu
Nimekuwa mchafu tangu uniache wewe
Nakula kwa shida sababu napika mwenyewe
Wananiita mkangafuu silali mpaka nilewe
Fanya urudi babe nitakufa bure
Kosa gani lisilo sameheka baby
Niamini nimejirekebisha babe
Jirani mama shani anavyokukumbuka baby
Rudi nyumbani mumeo ninakuita baby
Wewe na mimi babe tuzikwe wote
Nife uniokote nikuokote
Sasa kwanini unaruhusu nichekwe
Mkono kaunyea mtoto usiukate
Samahani Waiter ongeza glass
Eh muhudumu ongeza glass
Samahani Waiter ongeza glass
Eh muhudumu ongeza glass
Acha nilewe nilewe tuu
Eh nilewe nilewe tu
Acha nilewe nilewe tu
Nilewe nilewe tuu
Eh nilewe nilewe tu
Acha nilewe nilewe tu
Nilewe nilewe tuu