Aslay “Hauna” Lyrics

download

Ilikuwa inakuumaga ukiniona naye
Ilikuwa inakuchomaga mwanaume wewe
Ulitamani wewe ndo uwage mie
Ndio maana nilipomuacha ukaamua umuoe
We hauna ,we hauna
Hauna moyo kabisa
Hauna ,we hauna ,we hauna
Ulumagiki ata kulika
Hauna wewe
Alivyopika chakula ulikuwa jikoni
Sikujua ni kwa nini,
Nilijua ushemeji tu,
Kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu
Nyinyi mpaka umemteka
Umekuwa gaidi juu
Nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
Nitamwita shemeji oh
Nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
Nitamwita shemeji
Ah shemeji,eeh shemeji ,eh shemeji eeh
Kila upande shemeji eeh
Shemeji shemeji eeh
Kishingo upande
Mara oh tunaendana unaomba tusije
kuachana eti
Unatupendaga sana kumbe ulinichora
Kumbe nyuki
Mwenye laana kaniacha
Manundu ya mchana nilivyobeep
Kapiga tu mapema ukasepa na sinyora
Oh kama masihara umemvisha na shela
We mwana ni mbaya oh
Ni mbaya sijui ulimpa dawa
Au ndio hela ila yote sawa mi
Nasema inshallah mungu atalipa ah
Alivyopika chakula ulikuwa jikoni
Sikujua ni kwa nini
Nilijua ushemeji tu
Kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu
Nyinyi mpaka umemteka
Umekuwa gaidi juu
Nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
Nitamwita shemeji oh
Nimekubali ,nimekubali ,nimekubali
Nitamwita shemeji
Ah shemeji,eeh shemeji ,eh shemeji eeh
Kila upande shemeji eeh
Shemeji shemeji eeh
Kishingo upande

download Nyimbo mpya