Verse 1
Kwa ile imani ya enzi za kale
Mi nliamini ntakufa nawe
Ila mimi sikulaumu wewe
Kwani Mungu ndo apangayee
Yale yote ya zama za kalee
Mi nilipanga kuishi na wewe
Mwenye hali nsiye na mali
Wenye mali wakawa na wewee
Hukunificha matendo yako
Machafu uliniacha nione
Bila kujua yalisaidiaa
Nikazoea ila nikaumiaa
Sababu bado nakuhitajii
Kwangu muhimu ni kama maji
Cha ajabu bado nakuhitaji
Atayekutenda njo kwangu mimi
Chorus
Yani maumivu per day (yani maumivu per
day)
Yani maumivu per day (ni yaleyale ya per
day)
Yani maumivu per day (kichwa mawazo
everyday)
Yani maumivu per day (ni yaleyale ya per
day)
Yani maumivu per day (yani maumivu
everyday)
Yani maumivu per day (oohoo)…
Verse 2
Uko moyoni mwangu we everyday
Bado namwomba Mungu everyday
Uko moyoni mwangu we everyday
Everyday ever everyday
Nsikuwaze wewe niwaze mengine
Labda ntakuja penda mwingine
Ninavyopata tabu ya dunia
Na mwili wangu umekwisha pia
Yote malipo ya kupendaa
Anayependa mwisho atatendwaa
Sababu bado nakuhitajii
Kwangu muhimu ni kama maji
Cha ajabu bado nakuhitaji
Atayekutenda njo kwangu mimi
Chorus
Yani maumivu per day (yani maumivu per
day)
Yani maumivu per day (ni yaleyale ya per
day)
Yani maumivu per day (kichwa mawazo
everyday)
Yani maumivu per day (ni yaleyale ya per
day)
Yani maumivu per day (yani maumivu
everyday)
Yani maumivu per day (oohoo)…