Wimbo Wa Diamond Platinumz Wasumbua Akili Ya Neymar Jr.

download

Hatimaye juhudi ya Rais wa Wasafi,Diamond Platinumz kujulikana kimataifa huenda ikatimia hivi karibuni.

Video inayosambaa kwenye platform ya youtube hivi leo inamuonyesha mchezaji wa PSG
Neymar Jr. akicheza waka waka ya diamond platnumz. Video hiyo imezua gumzo kubwa sana kwa
mashabiki wa muziki wa bongo fleva.

Neymar Jr anaonekana akicheza pamoja na mchezaji mwenzake wa psg Kyllian Mbappe ,waka waka ya msanii diamond platnumz imezua gumzo sana hivi sasa.

Hata hivyo msanii Diamond amekiri kuiona video hiyo ya mchezaji neymar jr akicheza
wimbo wake wa waka waka.
sio mara ya kwanza kwa mastaa mbali mbali kucheza wimbo wa diamond platnumz. inadaiwa hata mwananuziki kim kardashian
aliwahi kutuma video akicheza wimbo wa diamond wa halleluyah.

Je ni nn maoni yako kuhusu neykar kucheza waka
waka?

download Nyimbo mpya